| |
Yaliyomo
Kuhusu Sisi
Miradi
Historia
Michango
Uchangiaji
Mawasiliano
|
|
Matukio ya Uchangiaji
Matukio kadhaa ya mikakati
yetu ya uchangiaji...
|

Julia Reynders alikimbia na kumaliza mbio za Marathon za London ya 2008
kwa ajili ya kuikusanyia You Touch Africa fedha za miradi. Fedha hizo
zitatumika kwa ajili ya kulikarabati paa la Shule ya Msingi Makomu, Tanzania.


Shule ya Secondari ya Mtakatifu Luka, Sidcup, UK, ilichangia vitabu
na vifaa vya maabara kwa ajili ya shule za Africa.


Kwa jitihada za mwalimu Lorraine Shakesheff, Shule ya Secondari
ya Mtakatifu Luka, Sidcup, UK, ilifanikiwa kukusanya zaidi ya £2,000
kwa ajili ya kusaidia Shule ya Usukaji na Ushonaji iliyoko Africa..
Kama unamikakati yeyote ya kuisaidia
You Touch Africa na ukapiga picha, zitume kwetu na tutazichapisha
hapa!
|
|
|