| |
Home
About Us
Projects
History
Donations
Fundraising
Contact
|
|
Mradi wa Uboreshaji wa Chakula cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Makomu

Tofauti ya mradi huu na miradi mingine inayohitaji fedha ya mkupuo, kama ukarabati wa majengo, usafirishaji wa vifaa, nk., fedha ya kuboresha chakula itahitajika mwaka hadi mwaka. Faida
Tunaamini kwamba kuwapa chakula bora wanafunzi wa shule, sio tu kutatua
njaa bali pia kuleta yafuatayo:·
- Kunyanyua afya na elimu ya watoto
- Kutia changamoto katika uchumi wa maeneo ya kijijini
- Kuwapa moyo wazazi kuendelea kutoa mchango wao wa mahindi kama inavyotakiwa
- Kuongeza mauthurio ya shule kadri watoto watakavyo zoea chakula kizuri
Mfadhili Mkuu:
Name: Mr Wilbert Derks
Company: Howrey LLP Amsterdam
E-mail:
Rudi
|
|